Taarifa

Tazama zote

Surabaya, Indonesia

Ramani ya Nchi Indonesia

Karibu EQWIP HUBs

EQWIP HUBs ni mtandao wa kimataifa unaotoa nafasi ya ugunduzi kwa kuunganisha na kubadilisha mwelekeo wa kiuchumi wa vijana kupitia ujuzi wa kazi unaoendeshwa na soko, viatamizi vya ujasiriamali, mipango inayotekelezeka ya kijinsia, ushauri, mitandao, na misaada-mbegu kwa wajasiriamali wapya.

Wasiliana nasi

Gundua EQWIP HUBs Surabaya

Hadithi ya Mfano

Surabaya November Update!

Matukio Yajayo

Je, wewe kijana wa eneo hili unayetafuta njia ya kuwa mshiriki? Kujua matukio yajayo, warsha, na vikao vya mafunzo yanayotokea katika EQWIP HUB.

JIFUNZE ZAIDI

Kutana na Timu

Picha ya Semy Hery Koapaha
Semy Hery Koapaha
Country Staff: Accountant

Managing finances of the HUB

KUTANA NA TIMU KAMILI

EQWIP HUBs imekirimiwa ufadhili, kwa sehemu, na Serikali ya Canada kupitia Global Affairs Canada.

Nembo ya Canada Global Affair